Ili kupata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kutumia Kickshaw, dirisha la vidokezo
linaweza kufunguliwa ndani ya programu. Linaweza kufikiwa kwa njia mbili:

  - Kwa kuchagua "Vidokezo" kutoka sehemu ya "Msaada" kwenye menyu ya programu.
  - Kwa kutumia njia mkato F1.

Hoja zinazokubaliwa na Kickshaw:
